ROMANTICISM_ CAROLINA BY MSAFIH POETICS.
Kumbuka zile Zama tukicheza Paulina,
Mtoto mzuri Carolina,
Ndoto zetu kufika international,
Limpopo kama Musa Juma,
Tucheze Masellina,
Back then tulikuwa wadogo,
Hatukujuwa muda huna kisogo,
Wazazi walitupeleka shule...
Tupate masomo
Nasitukapata upendo
Mapenzi ikazaliwa
Kwetu tunawasha mshumaa,
Ukawa wangu Carolina
Mrembo kuliko ulimchezo wa Paulina
Tukapendana zaidi ya Musa Juma
Akimwimbia Masellina,
Kinyaunyau nyau Moto Moto
Unatakani... ndogo ndogo
Was our time back then tukicheza
Cha mama na chababa
But today this generation Wana kamatia chini
Wakiinama na kulamba Lolo
All in all kila generation iko na yake
Our dream went away
Wakati ulimaliza primary
But our love was still blazing
Lakini maisha inamengi simulizi
Tulikuwa na moja tamu mapenzi
Hata kama tulikuwa wanafunzi
Yalinoga hadi ikalets wivu kwa wakufunzi
Every day I thought of Carolina
How beautiful she was
Mrembo kuliko Paulina
Yake maringo...tausi kando
Weusi wake ulikuwa Nuru
Macho nayo usiseme
Sauti kaniweka mpangoni
Sitaki taja wapi na gani shule
Hayo yashakuwa ya kale
Tulipendana kama wale
Mie na Yule
Our love was the best tale
That all in school could tell
Ama kweli tulipendana
Pete na Chanda
Lake tamu kolea
Jina bado ninmelizoea
Not mountains
But watu hukutana
Baada ya kukosana
Bila kutupiana jicho
Ghafla kivuli chake kanitupia mwanga
Macho niangaze...
Tabasamu kulipamba uso wake
Nambari kubadilishana ...angalau nisikize Tena
Tamu halwa yake sauti
Where was I ?
Aliniuliza...kumbe ndio kauwasha
Mshumaa was mahaba
Mtoto mrembo kuliko Masellina
Maringo zaidi ya Paulina-wangu Carolina
shika_more2021
gifte_ya_msafih
truestory
CAROLINA(CARO)
Msafih Visual Diaries Fliq
Msafih_inks present
21/02/2021.
Wow💪
ReplyDeleteGoodness!🔥
ReplyDelete